Tuesday, July 27, 2010

Mkalimani

An American preaching couple (Reverend Mr & Mrs Stumbles) held a crusade in Kiambu where Njoroge, their Kiswahili translator, did a real mess of the whole event.. & meaning

Rev STUMBLE: Everything comes from above.
Njoroge: Vitu vyote huja juu juu,
STUMBLE: So you see my brothers and sisters,
Njoroge:Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,
STUMBLE: know perfectly well,
Njoroge: Na muwajue vizuri sana ,
STUMBLE: That all world affairs,
Njoroge:Kwamba mapenzi yote duniani,
STUMBLE: are successfull only if held from above,
Njoroge:Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.
STUMBLE: Remember, faith is your pillar,
Njoroge:Kumbuka kuuamini mlingoti wako,
STUMBLE: Keep it first and above,
Njoroge:uuweke kwanza juu juu.
STUMBLE: Let it run very deep and stong,
Njoroge:Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,
STUMBLE:Should anybody want to test you,
Njoroge:Mtu yeyote akitaka kukuonja,
STUMBLE:will feel its work,
Njoroge:Ataisikia kazi yake
STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out,
Njoroge:ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,
STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,
Njoroge:Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,
STUMBLE: and that peace will remain.
Njoroge:Na sehemu hiyo itabakia.
STUMBLE: Amen.
Njoroge: Huyo ni mwanamme

No comments:

Post a Comment