1.Kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size.
2.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha unamwambia konda shusha.
3. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi.
4.Kupigiwa simu halafu unaangalia balance yako.
5.Kutafuta remote ya TV kwa dk 10 wakati tv ipo karibu yako.
6.Kupunguza sauti ya radio ili usome sms.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment