Curtis James Jackson III aka 50 Cent kwa sasa anataka kuingia 'deep' kwenye movie na amepunguza uzito kwa kiasi kikubwa ili awe fit ku-act kwenye movie yake mpya ya ''THINGS FALL APART'' ambayo mbali ya kuwa starring pia ni mtunzi.
Mbali na uzito 50 pia ametoa Tatoos zake zote mwilini mwake na kupunguza uzito hadi pound 50 kwa wiki 9 ili awe fit zaidi atacheza kama mcheza mpira anaeyeugua maradhi ya cancer na kuahidi atarudi kuwa fit muda si mrefu baada ya kumaliza movie hiyo itayotoka mwaka 2011.
No comments:
Post a Comment